Saturday, September 29, 2012

Kutoka Facebook leo.
Aloy Sazia Mapembe na Dj Ku
KUNA WATU WANAANDIKA FACEBOOK,BLOGX,WATU WA GLOBAL WANAPIGA SIMU ,WENGINE WANANISMS KWA SIMU NA FACEBOOK KUWA MIMI NIMEONDOKA TIMES FM ,NIKIONDOKA TIMES FM NITASEMA MWENYEWE KUWA NIMEONDOKA AU NIPO TUSIWE WASEMAJI WA MAMBO YA WATU KUNA SHUGHULI NYINGI SANA SANA HAPA MJINI ,NIKIRUDI HEWANI MTASIKIA ASANTEE ..............................
Like ·  · 4 hours ago · 
  • 21 people like this.
  • John M Adam @Mapembe tiririka mzazi hizo tetesi hata me nipata sema nilikuwa busy kidogo nikabaki nimeshikwa butwaaa.... nilitaka leo nikupigie ila TAKE IT EASY KAKA SI UNAJUA HAPA MJINI KUNA WATU WANAPATA KULA KWA AJILI YA MDOMO!
    3 hours ago via mobile · Like
  • Aloy Sazia Mapembe bro tusikilizie majibu ya biblia lol si unajua biblia ina majibu mengi eeeeeh @john m Adam.....
    3 hours ago · Like · 1
  • Dravic Moudy WA2 CKU IZI 2MEKUA WAZUSH KISA KUJUA IZI SOCIO NETWEK YAN M2 AKICKIA ACHUNGUZ ANAJIANDKIA 2' UJINGA M2PU HASWA HAWA WNYE HIZI BLOGS UCHWARA' YAN M2 HAJUI HT ETHCS Z JONOLIST ANAFUNGUA BLOGS'TEH TEH TEH! POLE NDGU
    3 hours ago via mobile · Like
  • Bob Manase wasije tuu kuwa wamekuiba Radio ile, Samahani lakini!

No comments:

Post a Comment