Friday, August 10, 2012

Sharo Milionea afanya 
new track na Ally Kiba.
Sharo Milionea.
Studio hapo mzazi Kiba, C9,Sharo
Studio Kill Rec hapo mzazi C9 
akigonga mdundo 
Sharo anausikilizia.
Ally Kiba kumbe nayeye noma.
Ikafika mda wa sindano ahaa! 
Sharo alitisha mzee.
Zam ya Kiba sasa ahaa!
 kapita mule mule.
Tusubili ngoma.

No comments:

Post a Comment