Harusi ya mtumzima
Dj Spar wa Xtreemedjays Tz,
anayefanya kazi
New Maisha Club Dar.
Hapa mzee umetisha.
Mc akimkaribisha Bwana Harusi kuongea mawili matatu.
Bwana Harusi anabwebwe.
Mama nayeye akatoa shukurani zake.
Dada yake bwana harusi alitisha ilikuwa
pouwa.(queen Suzi) upande wa kulia.
Hapa sasa! ,,
Huyu ni Baba mzazi wa Bi harusi, Hamiss Mangilile.
yupo pouwa sana aliongea sana
tulifurai sana, BIG UP Mzee.
Huyu ndiye Mrs Pesa,aliye tajwa kuwa Bibi bomba
wa Bi Harusi na ndie aliye mlea mke mpendwa wa
Dj Spar toka mtoto safi BIBI.
Hapa kuna utata. zoezi la ufunguaji shampen.
Nyosh wa Fm Academia na mkongo mwenzake
walifungua shampen kichina .
Dada alitisha alifungua vizuri, aliwafunika wakongo.
watu weweee!!!!!!!
Moyo wangu jamani kwa huyu mtoto.
Fm Academia walitumbuiza.
Hapo chacha!
Dagstz.blogspot.com.
inakutakia maisha marefu bwana harusi na bi harusi.

No comments:
Post a Comment