Wednesday, August 1, 2012

Diamondi akiwa hospital jana.



Pole mzee. ila this time 
karudishwa kwake
 kwamapumziko zaidi.
#################
"Dah nilikuwa nakohoa sana ikasababisha
 hadi homa, leo nikaamka nimezidiwa 
sana mwanangu ndo wakanilaza
 na ikabidi nifanyiwe vipimo vikubwa.
 ndio wakanicheki moyo labda unatatizo,
 wakanicheki TB na damu pamoja na
 maradhi mengine wakaona niko poa. 
Wamesema nilifanya
 show kwa mda mrefu so nikawa na 
experience hali ya hewa ya sehemu
 tofauti tofauti mara kwa mara 
sometimes vijijini so hali ya hewa 
vumbi pia imezingua"
##################

No comments:

Post a Comment