Tuesday, July 31, 2012

Mimi ni kati ya watu ninae umia
 sana nikijuwa kuwa unapata shida
 kwaajili ya kuokoa jamii yako au kuokoa
 maisha yako. Nampenda mwana HARAKATI
 yeyote yule na nitamsapot bila ya 
kuangalia yeye ni nani coz nilipotoka 
ni mbali mpaka hapa nilipo. 
Pole Young Dee,
 ulilia ukikumbuka ulipo toka safi, 
Mungu mkubwa. 
nasababu ya kuposti hii 
angalia.
6#6#6
Mara nyingine vitu vingine
 zinaniliza nikikumbuka,
na haya maneno maneno ya watu
 ila najitia nguvu najuwa iposiku itafika, 
kukosakitu leo kwangu sio tatizo.

No comments:

Post a Comment