Thursday, July 26, 2012

Kasumba mpya inayo muhusu 
Richad Mavoko.
Rich ni msanii mwenye kesi kadhaa
 za wizi wa nyimbo .
Sasa kuna jipya lililo chomoka tena
 kuhusu nyimbo yake
 ambayo bado ajaiachia.

Sheby 
Huyu ndiyo kijana mwenye madai
 kwa Rich Mavoko kuwa kamuibia wimbo 
wake aliyo recod mwaka mmoja nyuma 
unaoitwa Stress.
Sikiliza mkasa huu jumamosi 
103.1 classc fm kuanzia 
saa 3 asubuhi kwa habari 
zaidi SHEBY afunguka.

No comments:

Post a Comment