Muonekano
Mpya
hyperman
HK
day to go!
Muonekano mpya wa hypermasterhk baada ya kuzaliwa kwake upya tar 02-06 ni huu hapa anachanganya za kiutu uzima na zakiujana kimavazi na muonekano. alizaliwa miaka kama 30 iliyopita jijini Dar es salaam katika hospital ya ocean road akiwa mtoto wa pili kuzaliwa kwa baba yake na wa 5 kuzaliwa kwa mama yake.ifikapo hapo kesho atahamkia katika kituo cha kulelea watoto yatima kutoa msaada katika watoto hao na baadae kupata dua na kurehemu marehemu baba yake mzazi. baada ya hapo anaomba mumtafute atatoa code ya where the party gonna be at?
No comments:
Post a Comment