Witnesz!
ROCK SUPERStar.
Tsup my pipo on thursday am doing a video
ya De Twaa (de toir) while am releasing a
new Track inaitwa ROCK SUPERStar,
and also it's video nitatoa namba kwa ajiri
ya akina dada watatopenda kuonesha
kwanza tuone unachoweza fanya then ndo kung"aa
kwenye video ndo kutafuata na ninafanya
hivi kwa kuwa karibia all my videos kumekuwa
na wasichana wachache ninafikiri inasababishwa
na kuwa na marafiki wengi wa kiume
much love to yo all!!

No comments:
Post a Comment