Tuesday, May 22, 2012

Mastar wawili 
wa 
kibongo 
waibiwa ndinga!
Dogo Hamidu! 
ezi za gari yake.
Rapper 26 or call him Dogo Hamidu/
 Nyandu Toz,
 ameibiwa Gari yake aina ya
Vits
 ya mwaka 2002 Rangi ya Silver, plate
 namba P698 BUH, ndinga hilo limeibiwa
 maeneo ya mwana nyamala katika parking
 maalum ya magari, ambapo wezi walifanikiwa
 kuondoka na gari nne kwa mpigo
 kutoka kwenye Parking hiyo likiwemo gari la
 Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa
 Taarabu Khadija Omar Kopa, walinzi
 wa nne wa Parking  hawajulikani walipo,
 Nyandu Toz anasema ni sehemu ambayo
 amezoea kuegesha gari lake kila siku
 ila anashangaa wezi kuigeuza show room
 parking hiyo ya magari.

No comments:

Post a Comment