LINEX SUNDAY
MJEDA!
Namshukuru Mungu mama angu baada
ya kung'atwa
na mbwa afu mkoa mzima wa
kigoma ukawa hauna
dawa tukalazimika
kumsafirisha kwenda
mwanza
hatimae
amemaliza dozi
na yuko poa kafika jana Kigoma
pamoja nakua Mama angu
amepona but stl iyo dawa na huduma
nyingine muhim ambazo
hazipatikani
Naomba wahusika
waliangalie hilo kwa Mkoa
nnao upenda nnao uwakilisha
nnapo zaliwa
mm SUNDAY MANGU aksanteni

No comments:
Post a Comment