Monday, May 14, 2012

Kanye West na Kim Kardashian

Mapenzi yatadumu!!




Weekend hii wapenzi hawa wameonekana
 pamoja mjini Los Angeles,
 Kanye ameandika
mistari kwenye
track yake mpya akisema “ Nilikuona kwenye
 club ukiwa na gauni jeupe. Na sasa nataka 
kukuweka kwenye vazi jeupe”.

No comments:

Post a Comment