KAMIKAZE
FROM DAY
ONE.
Tarehe 20 may 2012..cyrill a.k.a
KAMIKAZE atakua ana launch
documentary yake inayo kwenda
kwa jina la FROM DAY ONE ikionesha
jinsi alivyo
anza mziki na watu wote
waliofanikisha hilo zoezi mpaka kufika
hapa leo alipo, pia na nyimbo mpya
ya gigga flo member kutoka wakacha
itambulishwa,t-shirts za wakacha
zitauzwa siku hyo pia..itakua.
Inafanyika ndani ya NEW MAISHA
CLUB.

No comments:
Post a Comment