Ally Kiba wabandia akamatwa
RICH ONE
Aliyewahi kuwa member wa kundi la TMK Wanaume Halisi Rich One,
anashikiliwa katika kituo cha polisi cha Msimbazi kwa kosa lakutumia jina la Ali Kiba kuwatapeli mapromota mbali mbali.
Msanii huyo anadaiwa ku-divert simu zinazopigwa kwa namba ya Ali Kiba
na kuzipeleka katika simu yake, baada ya hapo anakubaliana na mapromota
kufanya show na kupokea advance kwa kuwapa namba yake ya mpesa. Siku ya
show promota anajikuta katika wakati mgumu baada ya kutokumuona Ali
Kiba.

No comments:
Post a Comment