Wednesday, May 9, 2012

Cheki na Video hii ambayo imejaa utata mkubwa sana
baada ya Suma Mnazalet kutaka kulipwa laki 2 kwa clip alizo piga.. kwa mujibu wa Stamina nikwamba
alikubaliana na   Mnazaleti kushut Video hii bure, na Video hiyo kabla   aijakamilika ikiwa imebaki picha chache za kumalizia  Stamina animpigia sim Mnazalet na kutaka waache  kushut then Stamina afanye kazi ya kumalizia na  kampuni nyingine ambayo ni Showbiz lakini kwa mujibu wa Mnazalet walikubaliana kwamba  endepo atahacha kufanya nae hiyo Video basi 
amlipe fidia ya laki mbili kwakuwa. sasa kuna bonge la utata kati yao.
                                             

No comments:

Post a Comment