Tuesday, April 17, 2012


Young Money Cash Money Billionaires rapper Nicki Minaj, amewashtua mafans wake duniani kote baada ya kufuta account yake ya Twitter ambamo kwa kiasi kikubwa
alitumika kuzungumza na mafansa wake kuwajulisha kuhusu nyimbo mpya, concerts na mengine mengi yanayohusiana na Star huyo wa Hip Hop.Tukio hili lilifuatiwa na website moja iliyotengenezwa na fans wa Minaj iitwayo Nicki Daily, kupost nyimbo zilizoibiwa kutoka kwenye album mpya ya rapper huyo iitwayo ROMAN RELOADED,iliyotarajiwa kudondoka mwishoni mwa mwezi huu.
Nicki alikasirishwa sana na tukio hili ambapo aliaga kwa kuandika,
“And thats exactly why Im paying the barbz DUST right now! And deleting my twitter. Smdh dont cry 4 me Argentina
On 2nd thought Ill just follow a new set of barbz. The ones I follow r very mean and ratchet. *side eyes them*
Exactly. Posted leaked music! *deletin twttr* RT @NickiBarbPink: @NickiDaily kno why they got blocked.
Like seriously, its but so much a person can take. Good f-cking bye
Baada ya Nicki kufuta Twitter yake, nayo website ya fans Nicki Daily ilifuta account yao ya Twitter pia na kufunga site hiyo.

No comments:

Post a Comment