LULU MAHAKAMANI
KWA MARA YA PILI.
Wakili wa upande wa serekali
ELIZABETH KAGANDA
hakizungumza mahakamani hapo amedai Upepelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika na kwamba itatajwa tena mei 7 mwaka huu.
ELIZABETH MICHAEL kupandishwa Kizimbani kwa kosa la mauaji Marehemu Steven Kanumba ni mara ya pili sasa.
No comments:
Post a Comment