Wednesday, April 4, 2012

Beyonce Mapaparaz waendelea kumfatilia

Kuna uwezekano mkubwa mapaparazzi wakawa wameweka camp nje ya ofisi za mwimbaji Beyonce New York Marekani, hizo hapo juu ni picha alizopigwa leo nje ya jengo la ofisi yake ambapo leo hakua amembeba mtoto kama kawaida yake wala hakua na mama ambae wakati mwingine anamsaidia kukaa na mtoto, ambapo kwa mujibu wa blog ya Necole, Beyonce leo hakua kwenye mood ya picha kama siku zote mpaka aliamua kujiziba sehemu ya uso wake, ambapo kero hii ya waandishi imezidi kuongezeka zaidi kwake baada ya kujifungua mtoto wake wa kwanza.

No comments:

Post a Comment