Thursday, March 29, 2012

Shetta anakuja na kichupa  kipya.
Rais wa Dastamina Shetta  sasa yupo katika mchakato wa kushoot video ya wimbo wake mpya unaoitwa Nidanganye  amemshirikisha  Diamond. Shetta amesema siku si nyingi utengenezaji wa video hiyo utaanza na anawatafuta warembo wazuri ambao hawajawahi kuonekana kwenye video ya msanii yoyote hapa bongo.

No comments:

Post a Comment