RICH MAVOKO - FOLLOW ME, Jamaa kaiba ngoma ya dogo mmoja hivi, halafu eti anadai kuwa yule dogo alikuwa dancer wake zamani alisikia wimbo wakati tunafanya mazoezi kabla ajajitoa kwangu, huku meneja wake akisema "NANUKUU" Yule dogo ni msanii wa B 12 mtangazaji wa Clouds fm (XXL) kwaiyo wamemtengeneza ili wamuuwe msanii wangu na tutaachia ngoma nyingine atupeleki Clouds fm.
Mzee umetisha.......
No comments:
Post a Comment