Tuesday, March 20, 2012

                                                   Ndoani Black Rhyno
Vikao vya harusi yake ambayo anatarajia kufunga ndoa mwezi June tarehe 30 mwaka huu. Rhyno ambaye anaonekana pichani akiwa na Mkewe Khadija Beatrice Mmbaga.
Mbali na.......vikao hivyo vya harusi vikiendelea Rhyno anatarajia kushoot video ya wimbo wake mpya unaoitwa TAKING OVA ambao unafanya vizuri kwa sasa katika radio station mbali mbali so anatafuta wadada warembo ambao wanaweza kuwepo katika video hiyo na kuifanya kuwa ya matawi ya juu kabisa. Kama unahitaji na upo kwenye mtandao wa jamii  facebook unaweza kumtext anatumia jina la Black Rhyno

No comments:

Post a Comment