KUAZIA JANA NILIMVUA U SPTAN LINEX ATOKE ZAKE!!
Baba levo
Jana wakati tupo kwenye video ya mdogo wetu wa kigoma HUSEIN LUBIBI. kamdharau kamnyanyapaaa na kisha kuondoka bila kufanya clip hata moja wakati tulienda pale kumsapot ndugu yetu. so kuanzia jana nilimvua U SPTAN linex atoke zake!!
Linex Sande Mjeda
Linex Sande Mjeda



No comments:
Post a Comment